Kitabu hiki kinawasaidia wale wanaohangaikia kupata nafuu na wale ambao tayari wako katika mchakato huo. Kwa sababu kinawapa changamoto na kinaeleza mambo kwa njia halisi sana, ya kawaida, na ya wazi kabisa, hivyo kinawawezesha kufanya marekebisho sahihi kabisa katika maisha yao. Uzuri wa masomo ya kitabu hiki ni kwamba watu wanapenda kuyafanya, wala hawahisi wanafuata ratiba fulani ya kila siku, au wanalazimishwa kufanya jambo fulani, kwa sababu kila ukurasa unamtia moyo mtu kufikiri kwa njia halisi na itakayomnufaisha. Jambo hilo linamfanya mtu ahisi vizuri anaposhughulikia hali yake.Yote yaliyo katika kitabu hiki ni mambo yalitokea katika maisha yangu binafsi na mambo niliyofanya ili kupona au kupata nafuu. Kila ukurasa umetumiwa kwa mafanikio sana katika programu za watu wenye matatizo yanayofanana kusaidiana wenyewe kwa wenyewe.
- ISBN:
- 9781794801097
- 9781794801097
-
Category:
- Self-help & personal development
- Format:
- Paperback
- Publication Date:
-
31-12-2019
- Language:
- Swahili
- Publisher:
- Lulu Press Inc.
- Country of origin:
- United States
- Dimensions (mm):
- 279.4x215.9x4.32mm
- Weight:
- 0.26kg
This title is in stock with our Australian supplier and should arrive at our Sydney warehouse within 2 - 3 weeks of you placing an order.
Once received into our warehouse we will despatch it to you with a Shipping Notification which includes online tracking.
Please check the estimated delivery times below for your region, for after your order is despatched from our warehouse:
ACT Metro: 2 working days
NSW Metro: 2 working days
NSW Rural: 2-3 working days
NSW Remote: 2-5 working days
NT Metro: 3-6 working days
NT Remote: 4-10 working days
QLD Metro: 2-4 working days
QLD Rural: 2-5 working days
QLD Remote: 2-7 working days
SA Metro: 2-5 working days
SA Rural: 3-6 working days
SA Remote: 3-7 working days
TAS Metro: 3-6 working days
TAS Rural: 3-6 working days
VIC Metro: 2-3 working days
VIC Rural: 2-4 working days
VIC Remote: 2-5 working days
WA Metro: 3-6 working days
WA Rural: 4-8 working days
WA Remote: 4-12 working days
Share This Book: